![FUATA BIBLIA IKUONGOZE](https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts115/v4/8a/02/91/8a02917d-b5c4-aaba-aab7-e2b10a6170f7/mza_9578779115320516252.jpg/250x250bb.jpg)
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32
Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu.
Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu.
Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki.