Afleveringen
-
Je, taasisi zilizojengwa kwa misingi wa ukwelina haki ziliwezaje kuwa wasaidizi wa kukoleza shida zile zile zinazotakiwakupambana nazo?
-
Fahamu kuhusiana na darubini ya James Webb Space Telescope iliotumwa kueleka anga za juu ili kutafuta majibu kuhusiana na chimbuko la ulimwengu.
-
Zijn er afleveringen die ontbreken?
-
Maisha ya mwanadamu hayajazuiliwa kwenye dunia hii tunayoishi pekee, bali tunauwezo wa kujenga makao yetu kokote ulimwenguni. Tazama video hii ujionee juhudi za NASA kupitia mradi wa Artemis unaonuia kupeleka wanadamu mwezini na hata zaidi. Asante.
-
Je, umesikia chochote kuhusiana na teknolojia ya Sora ambayo inaunda video kutokana na maneno machache unyayoipa. Tazama video hii ujifunze mengi kuhusiana na Sora ya Open AI.
-
Jua zaidi kuhusiana na magari ya umeme na fiada zao kwa maisha yetu humu duniani.
-
Jua majina ya matunda kwa lugha ya kiswahili
-
Katika video hii, tutaangazia misamiati ya madini kwa Kiswahili. Tutaanza kwa kuelezea maana ya madini, kisha tutaendelea kujifunza kuhusu aina tofauti za madini, matumizi yao, na jinsi ya kuyatambua.
-
Kipindi hiki kitakupa tafsiri ya misamiati ya rangi kutoka kwenye lugha ya kimombo kuja kwenye lugha ya kiswahili. Sikiliza ili ujifunze mengi. Natumai kipindi hiki kitakufaa. Asante!
-
Kipindi hiki kitakusaidia kujifunza tafrisi ya misamiati ya kitechnologia. Karibu sana na natumai utanufaika.
-
Huu ni utangulizi wa msururu wa vipindi vya kutukuza kiswahili ambavyo vitaangazia kuongezea maarifa ya misamiati kutoka nyaja tofauti tofauti. Lengo kuu ni kukomaaza ufahamu kwa lugha hii tukufu katika miktadha mbali mbali za kimaisha. Karibu sana na kiswahili kitukuzwe!
-
Google imewezakuvumbua aina mpya ya akili bandia yenye uwezo wajuu kuliko akili tarakilishi zingine duniani. Sikiza podcast hii ili ujijuze mengi. Asante
-
Je, umepata kujua neno "artificial intelligence" kwa kiswahili ni nini?
Sikilizi podcast hii ili ujifunze tafsiri tatu ya msamiati huu mpya. Astanteni
-
Safari ya kurudi mwezini na kwenda kwenye sayari ya Mirihi iko karibu. Katika kipindi hiki, tutachunguza majaribio ya roketi zinazojengwa na kampuni ya SpaceX yenye nia ya kupeleka watu kwenye sayari zingine.
-
Je, tofauti ya vitate, visawe na vitawe ni nini?
-
Jielimishe zaidi kwenye podcast hii inayoikuuza na kufunza kiswahili
-
Sikiliza hii podcast ili iweze kujifunza tafsiri ya neno 'climate'. Asante
-
Sikiza podcast hii ili uweze kujifunza tafsiri ya 'browser' na 'browse' kwa kiswahili.
-
Je, neno 'Municipal Council' laitajwe kwa Kiswahili?
-
Je, unajua 'process' kwa Kiswahili yaitwaje?
-
Je, unajua neno 'feasibility study' kwa kiswahili yaitwaje?
- Laat meer zien