Afleveringen
-
Nini ufanye ili ujiajiri ukiwa kazini? Sikiliza episode hii itakupatia kitu wewe uliye ajiriwa na umefanya biashara nyingi na hazikufanikiwa.
-
Umesha wahi jiuliza biashara ni nini? Uwekezaji je? Na ni nani basi anaweza kuwekeza?
Na kwanini watu wengi wanafanya biashara na bado hawafanikiwi kuzikuza? Basi sikiliza episode hii hadi mwisho utajifunza mengi. -
Zijn er afleveringen die ontbreken?