Afleveringen
-
Upinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.
-
Zijn er afleveringen die ontbreken?
-
Serikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maoni.
-
Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.
-
Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
-
Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.
-
Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.
-
Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.
-
Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo.
-
Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.
-
The land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belonging, and way of life. - Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
-
Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.
-
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmoja mjini Perth katika tukio la uvamizi wa nyumba.
-
MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.
- Laat meer zien