Afleveringen
-
Ni maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo ikiwa jina lake halisi ni Hilali Makarani tulipata wasaa wa kupiga nae stori kutokea mezani kwetu kupata madini juu ya mambo mbalimbali.
Hakika kwa dakika chache tulizokuwa nae tumepata mawili matatu ya kuzingatia kama elimu kutoka kwa wakongwe kama Sheikh Kipozeo.
-
Kwenye epsode hii ya leo nimefanya mazungumzo na kundi la Men's Talk na majadiliano yetu yalilalia upande wa namna ya kutimiza malengo na kuweka akiba ilikufikia mafaniko.
Karibu kusikiliza ili kujifunza na kukuamsha kwenye haraka za kufikia malengo yako.
-
Zijn er afleveringen die ontbreken?
-
Asilimia kubwa ya maisha yetu yapotunayojifunza kupitia maisha yetu binafsi lakini kupitia maisha ya watu wanaotuzunguka kwa yale walioyapitia.
Mezani kwetu leo tumepiga stori na Marthin Kimanga ambae ameshuhudi namna alivyokuwa jambazi na kufanya matukio makubwa ya ujambazi na namna alivyojiingiza kwenye ushirikina ili kijilinda kwenye matukio waliyokuwa wanayafanya.
Karibu kusikiliza na tujifunze. -
Kuelekea siku ya wapendanao mezani kwetu tumepiga stori za mahusiano na Dada Sauda.
-
Watu wengi wanafanya mazoezi lakini hawaoni matokeo kwa wakati sahihi, mezani leo tunachambua na kupiga stori juu ya namna nzuri ya kufanya mazoezi.
-
Kwenye episode yetu hii tumeweza kuzungumza namna ambavyo mtu anaweza kuanza mazoezi kwa usahihi na kuyafurahia mazoezi.